Naomba kujua ubora wa hii Star x led TV na TCL

Natumia STAR X ina mwaka sasa haijawahi sumbua kitu chochote!
Unataraji tv ikusumbue baada ya mwaka? Kuna tv zina miaka 30 bado zina dunda na hazimjui fundi.
Tv inatakiwa kuanza kutiliwa mashaka at least baada ya miaka 5
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom