Naomba kujua ubora wa elimu itolewayo Open University

Naomba kujua ubora wa elimu itolewayo Open University

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Nina...
1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance.
3. Masters of Science in Finance and Investment.

Lengo langu lilikua ni kwenda Nje kusoma PhD in Economics ila preference zimebadilika nataka kusoma Masters of Science in Economics hapa nchini kwanza ndio nianze harakati za PhD.

Nimeona vyuo viwili vinatoa hii course...
1. Mzumbe Main Campus :-
Kusoma full time tena naona nitakosa muda na shughuli zangu za kipato.
2. Open University:- Blended mode. Sijawahi soma huu mfumo.
Ila pia kwa story za kitaa ni chuo (Open) cha ajabu sana. Kuna mabraza kitaa kipindi nasoma A'Level nilikua nawasikia wanalalamika Sanaa kwamba walimu wao wa Open wanawazingua.
Hata kipindi Niko kazini Open Graduators walikua wanadharaulika sanaa.
Kifupi NIMESIKIA SIFA MBAYAA NYINGI SANAA ZA OPEN UNIVERSITY.

•Sasa wadau hebu nipeni QUALITY ya hiki CHUO (OPEN)..
•Kwa mliosoma VIPI KIKO POA????

NB:-
KUSOMA NI STAREHE YANGU.

#YNWA
 
IMG_2638.JPG
IMG_2639.JPG
IMG_2640.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubora was chuo nini? Majengo,and other facilities au nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na taarifa za mtaani
1. Malecturer kujaza course work kwenye mfumo wanazingua
2. Elimu yao sio nondo
3. Wanasomea mitihani na sio competent
4. Mitihani rahisi Sana
5. Unaweza kusumbuliwa wewe kuwekewa majibu na matokeo ya test
6. N.K.....

#YNWA
 
Waliosoma Open University, wamekuwa wakikisifia sana chuo hicho, hasa wanapokilinganisha na baadhi ya vyuo.
 
Ingia kwenye website yao, wasome uwajue wanatoa huduma gani ukilinganisha na mahitaji yako.

Ubora wa 'chuo' unategemea na umakini wako kwenye kozi uisomayo, vile vile uwezo wako kichwani.

Kwa waliosoma pale na walikuwa makini na kupata grades nzuri watatoa maoni chanya, tofauti yale hasi kutoka kwa kwa waliokuwa wazembe na wakapata grades za "ajabu".

Well said . . . Ubora wa chuo unatokea kwa candidate mwenyewe kwanza (hii hasa kwa Tz). Elimu yetu ya vyuo vikuu kwa kiasi kubwa inafanana sana kwa sasa
 
Mtu ameomba ushauri na kaonesha anapotaka unaanza ma-attachment ya kushindanisha vyuo ili iwe nini sasa?

Hivi unajua elimu ya bongo kwa kiasi kikubwa ni ile ile?

Don't be obssessed na jina la chuo ... Tumshauri mwenzetu, tuache ligi zisizo na faida kwetu na kwa nchi

Kwani unataka nini sasa kwa mfano

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nina...
1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance.
3. Masters of Science in Finance and Investment.

Lengo langu lilikua ni kwenda Nje kusoma PhD in Economics ila preference zimebadilika nataka kusoma Masters of Science in Economics hapa nchini kwanza ndio nianze harakati za PhD.

Nimeona vyuo viwili vinatoa hii course...
1. Mzumbe Main Campus :-
Kusoma full time tena naona nitakosa muda na shughuli zangu za kipato.
2. Open University:- Blended mode. Sijawahi soma huu mfumo.
Ila pia kwa story za kitaa ni chuo (Open) cha ajabu sana. Kuna mabraza kitaa kipindi nasoma A'Level nilikua nawasikia wanalalamika Sanaa kwamba walimu wao wa Open wanawazingua.
Hata kipindi Niko kazini Open Graduators walikua wanadharaulika sanaa.
Kifupi NIMESIKIA SIFA MBAYAA NYINGI SANAA ZA OPEN UNIVERSITY.

•Sasa wadau hebu nipeni QUALITY ya hiki CHUO (OPEN)..
•Kwa mliosoma VIPI KIKO POA????

NB:-
KUSOMA NI STAREHE YANGU.

#YNWA
We mwenyewe sio Bora angalia elimu yako ya kuunga-unga Mara Diploma sijui Nn. Wafu endeleenu kuzikana hiyo Ada ya PhD Bora ukachuje pale Kona baa
 
Back
Top Bottom