Kama ukipata nafasi pitia taarifa ya Gavana wa Bank Kuu siku alipokuwa
anatangaza kuwepo kwa Noti Mpya, alitoa sababu ni kwa nini Noti inabadilishwa.
Lakini pia kubadilika kwa Rangi inaweza kuhamasisha watu kutamani kuzipata, na ili
uzipate ni lazima ufanye kazi halali .
Kazi halali + Noti Mpya(rangi) = Bidhaa nyingi na Huduma bora = Maisha kuwa Bora = Uchumi kuinuka.