Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Wanajamvi naombeni nijue sifa za Mtoto kujiunga Darasa la kwanza shule ya Msingi ili Watoto wetu wasipoteze Haki yao ya Kupata Elimu pia Serikali isimamie uandikishaji wa Watoto Darasa la Kwanza Maana niliyo ya ona leo ni aibu Watoto wanafanyiwa usaili wa ana kwa ana na wakifeli wanarudi nyumbani hivi Mtoto wa Chekechea ni Wa kumfanyia usaili wa ana kwa ana unataka asome sentensi hapa mutawanyima haki watoto