Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Wanajamvi, heshima kwenu.
Naombeni kujuzwa namna kufanya setting za proxy katika Mozilla Firefox.
Naombeni kujuzwa namna kufanya setting za proxy katika Mozilla Firefox.
Wanajamvi, heshima kwenu.
Naombeni kujuzwa namna kufanya setting za proxy katika Mozilla Firefox.
We spy nn ?
Kama ni mtumiaji wa voda bonya *149*01# then tafuta kifurush ktakacho kufaa kwa huduma ya internet
kama airtel *149*01#
KWA VIFURUSH VYA MITANDAO MINGNE 2XUBLI WAKUU
enjoy++
- Mozilla Firefox: Tools > Options > Advanced > Settings > Manual proxy configuration.
- Google Chrome: Options > Under the hood > Network > Change proxy settings > LAN settings > Use a proxy server > Advanced > HTTP.
- Internet Explorer: Tools > Internet options > Connections > LAN settings > Use a proxy server > Advanced > HTTP.
- Opera: Tools > Preferences > Advanced > Network.
We spy nn ?
Kama ni mtumiaji wa voda bonya *149*01# then tafuta kifurush ktakacho kufaa kwa huduma ya internet
kama airtel *149*01#
KWA VIFURUSH VYA MITANDAO MINGNE 2XUBLI WAKUU
enjoy++
Ndo akili zako zilipoishia?
Kama we una akili ucngeomba msaada humu ungefuata msaada kama kwenye search bar ya.. google
NB:kama unazan humu kwa kurushiana maneno naomba utulie hvo hvo
Enjoy++