Naomba kujua mchanganuo wa matumizi ya watoto hasa mahakamani

Naombeni mnisaidie mahakamani huwa wanafanya mchanganuo gani ili baba wa mtoto aweze kutoa matumizi kwa mtoto mfano napokea milioni mbili laki nne mtu anaweza ambiwa atoe shingapi kwa watoto wawili? nisaidieni mwenye kuelewa
Hakuna formula kaka, maana waweza fika pale ukaeleza Una mshahara huo ukatoa Mgao kama hivi;
1. Wazazi wako Kijijini laki 2.
2. Watoto 4 walioko Songea laki 2.
3. Kodi ya Nyumba laki 3
4. Matumizi yako monthly laki 9
5. Marejesho ya SACCOS Laki 5
6. Blaa blaaa blaa laki 3.
From there unamuomba muheshimiwa akukubalie uwe unampa laki 1 kila mwezi au chini ya hapo kwa matunzo ya watoto, fanya yote hayo ukijua huyo mwenza wako ana kipato chake ambacho unajua anaweza kulea watoto sawa sawa kama unajua hana kipato wala usimbane sana mpe hata laki 3. Lakini kama ni wale wa kuishi kwa Mobeto style andaa ushahidi jinsi unatumia huo mshahara hadi unaisha ataishia kupata elfu 80 kwa mwezi.
Kikubwa andaa akaunti maalumu za hao watoto uzimentain kila mwezi siku wakiwa na Umri sahihi unawachukua toka kwa huyo chuma ulete wanainjoy maisha.
 
Bro unapata vp laki 3 kuna jamaa namjua dem wake alimpeleka ustawi mchizi na pesa zote analipa elf 80 kwa mwezi
 
Dada pamoja na kushauriwa kote bado unakomaa na kupeleka baba mahakamani upate hiyo child support??
Halafu unavyouliza utapata bei gani na kuweka mshahara unafanya uonekane kama watoto unawaweka kama mtaji.
 
Back
Top Bottom