Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,598
Naomba kujuzwa mbinu za kufanikisha biashara ndogo ya upakaji rangi kwenye nyumba za kuishi, shule, na majengo mbalimbali, kwa mfano mahitaji gani niwe nayo ya kuanzia? Mafundi wangapi? Wa level gani? Vifaa gani? Rangi ya kampuni gani hupendwa na wateja? N.k