Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,079 Reaction score 45,279 Jul 5, 2018 #1 Aman iwe nanyi wapendwa, Najua kila kitu kina faida na madhara yake, hivyo kwa tanga wizi ina faida mwilin Leo wadau nilikuwa naomba kujua madhara ya tangawizi Nawasilisha LONDON BOY
Aman iwe nanyi wapendwa, Najua kila kitu kina faida na madhara yake, hivyo kwa tanga wizi ina faida mwilin Leo wadau nilikuwa naomba kujua madhara ya tangawizi Nawasilisha LONDON BOY
Ocran JF-Expert Member Joined Jun 29, 2017 Posts 1,045 Reaction score 1,384 Jul 5, 2018 #2 Naipenda sana, namm ngoja nisubiri majibu yake
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jul 5, 2018 #3 Beira Boy said: Aman iwe nanyi wapendwa Najua kila kitu kina faida na madhara yake, hivyo kwa tanga wizi ina faida mwilin Leo wadau nilikuwa naomba kujua madhara ya tangawizi Nawasilisha LONDON BOY Click to expand... Ngoja waje watu wa Traditional Medicine! Sitategemea jibu kutoka kwa madaktari!
Beira Boy said: Aman iwe nanyi wapendwa Najua kila kitu kina faida na madhara yake, hivyo kwa tanga wizi ina faida mwilin Leo wadau nilikuwa naomba kujua madhara ya tangawizi Nawasilisha LONDON BOY Click to expand... Ngoja waje watu wa Traditional Medicine! Sitategemea jibu kutoka kwa madaktari!
Mama Debora JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,481 Reaction score 2,609 Mar 28, 2020 #4 Hamna kitu hapa.
comrade wetu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 964 Reaction score 605 Sep 25, 2020 #5 Ina madhara kwa mtu mwenye ulcers tu kwani tumbo linawaka moto hata hivyo endelea kunywa lakini changanya na asali mbichi.
Ina madhara kwa mtu mwenye ulcers tu kwani tumbo linawaka moto hata hivyo endelea kunywa lakini changanya na asali mbichi.