majina ya kujiunga na masomo kwa ngazi gani?Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
majina ya kujiunga na masomo kwa ngazi gani?
na kama una degree,nahis uliipata kwa ku-desa!!! hapa ndugu ume kurupuka toka kwenye usingiz wa juzi!!! ndugu haya ni mawazo MGANDO!!! inaonyesha ni kiasi gani ulivyo na mawazo finyi kama tundu la sindano ya kushonea nguo!!!!!!Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha
hivi wewe kigogo akili yako ndo imeishia hapo, unataka watu wasome mambo ya fedha? fedha zenyewe zipo wapi? mafisadi wametafuna zote.. mifugo sasa hivi ndo fan inayotoa ajira za moja kwa moja kama ualimu. vyuo hivi vinaitwa LITI. vipo mpwapwa, songea,Arusha,tanga na moro. usidanganye watu kila fani ina umuhimu wake.Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha