juniour12 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 407 Reaction score 378 Nov 8, 2013 #1 Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Nov 9, 2013 #3 Hii ungeiweka Jukwaa la Gadgets ungekutana na wachambuzi wa mambo haya hadi ungefurahi.