Naomba kwa anayejua anifafanulie maana ya usalama wa taifa nini? Je, ni viongozi wa juu au nini? maana utasikia kama Mh Rais anaenda sehemu unaambiwa usalama wa taifa umejaa sehemu hiyo sasa kama hakuna kiongozi anakuwa sehemu fulani usalama wa taifa haupo au vipi? naomba kwa anayejua ABC's anitoe tongotongo. kama hujui tafadhali usisema kitu hapa.