Naomba kujua kuhusu mkoa wa Lindi

Naomba kujua kuhusu mkoa wa Lindi

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,204
Reaction score
3,983
Na mpango wa kuishi Lindi naomba kufahamu sifa zake fursa za kibiashara
Na mengineyo.
Karibuni
 
Ni kamji kadogo ila kana maisha magumu kinoma, pale town kwa namna mji ulivyo mdogo nahisi watu wote wanafahamiana...
Nasikia unaweza ukisimama katikati ya lindi unaweza ukarusha jiwe mashariki, magharibi, kisini au kaskazini na likavukia mkoa mwingine.
 
Kama unaenda kwa ajil ya kijitafuta kimaisha kwa biashara bas lindi hapakufai mkuu n mji mdogo na uchumi wake sio mkubwa hvyo mzunguko wa pesa n mdogo sana

Ukiona makao makuu ya mkoa una wagen wachache ogopa sana

Kama unaenda kwa ajil ya kilimo bas lindi n sehemu sahihi kabisa mkuu nakupa mfano wilaya ya KILWA hasa vijii vilovyopo kusin ka NAKIU NANJIRINJI LIKAWAGE huko ufuta ndio mahala pake wagen weng wametoboa kupitia maeneo hayo

Kijiji kidogo cha nakiu cha nakiu kinamzunguko wa bilion 3 kwa mwaka kutokana na kilimo cha ufuta ni wewe tu kuamua
 
Back
Top Bottom