Naomba kujua kuhusu Liquid Protector

300k Hadi 400k Ila Nakushauri Vumulia Kidogo Zipungue Bei At Least By February Maana Watu Wanaiona Kama New Product Ila Ukweli Nilishawahi Kuiona Kwa Mpmba Mmoja 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini huku mikoani ni kama kitu kipya maana hazijasambaa sana halafu nahisi kina faida kubwa maana naona wanawawekea watu hata kwa elfu tano
 
Hao jamaa wanaoweka hiyo protector walikuja Kongowe Kibaha wakafanya hiyo biashara kwa siku takribani 3 kabla ya krismas.
Kuna jamaa yangu alishawishika na tecno yake yake spark 3 akaipeleka ikatolewa ile protector yake ya glass na wakamuwekea hiyo liquid kwa gharama ya shilingi 10,000 za kitanzania.
Ni juzi tu alikuwa akifunga kamba za viatu vyake ndipo hiyo simu ikatoka mfuko wa shati ikaanguka chini na tachi imevunjika kabisa.
Nadhani hao jamaa pia ni wadanganyifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hawakumuweke vizuri kwa maana naona ile machine inatakiwa baada ya kuiwasha ijizime yenyewe
 
Na je mfano simu ikapiga crank na nataka nichange hio protector inawezekana kutoka?
 
sijawahi kuweka protector ktk simu zangu maana huifurahii simu ikiwa na protector na sijawahi kupasua kioo cha simu, umakini tu unahitajika

Sent using Jamii Forums mobile app
sometimes mishe mishe zetu ndio zinahukumu simu.

mtu unakuta ni fundi ujenzi[emoji31][emoji31]simu inakuwa na maisha ya mashaka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…