Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
Nenda kwa makongoro pale kariakoo haina solo anagawa bureHeri ya krismasaa wakuu,
nilikuwa na wazo la kuanzisha hii biashara ya kuwekea wati liquid protector.
Sasa wakuu nilikuwa naomba kwa aliye na uzoefu nayo kwanzia gharama ya mtaji nayohitajila kuwa nayo na kama ni mwenyeji wa Mwanza waweza nishauri niiweke wapi kusudi nipate wateja wengi.
NB: sio ya kuisimamia mwenyewe nataka kuweka watu kwa ajili ya kuisimamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap Mkuu! Kama Unataka Protector Seriously Ni Hiyo Liquid Protector.Worthy using this technology?
Nimeweka jana ila km bado siiamini aminiYap Mkuu! Kama Unataka Protector Seriously Ni Hiyo Liquid Protector.
Haivunjik Kirahia
Sent using Jamii Forums mobile app
gharama ni sh ngapi mkuuNimeweka jana ila km bado siiamini amini
Hivi kuweka lazima utumie machine au
Ndio Mkuu Hiyo Mashine Ni Kama LaminatorHivi ni lazima iwekwe kwa mashine au
Wanapaka pakaHivi kuweka lazima utumie machine au
Nimeweka kwa 15gharama ni sh ngapi mkuu
Jiamin!Nimeweka jana ila km bado siiamini amini
Okay, ngoja tuoneJiamin!
Tatizo Lake Hiyo Ukiweka Umeweka Ikitoka Inatoka Na Digitizer
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauzwaje mkuu
Wanapaka kwa mikonoWanapaka paka
300k Hadi 400k Ila Nakushauri Vumulia Kidogo Zipungue Bei At Least By February Maana Watu Wanaiona Kama New Product Ila Ukweli Nilishawahi Kuiona Kwa Mpmba Mmoja 2015Inauzwaje mkuu
Wanachopaka Ni Silicon Dioxide (Yale Maji)Wanapaka paka
elezea hapa kidogo bado sijaelewaJiamin!
Tatizo Lake Hiyo Ukiweka Umeweka Ikitoka Inatoka Na Digitizer
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenyew Ukiiweka Inaenda Kufanya Binding Kali Na Digitizer (Touch) Ya Kioo So Hauwez Kuitoa Kirahisi Kama Utahitaji Kuitoa Bac Itakubid Utoe Na Touch.