Naomba kujua kuhusu kudukuliwa whatsapp..

Naomba kujua kuhusu kudukuliwa whatsapp..

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,026
Habari zenu wanaJF.
naomba leo niulize swali hili kwa wajuzi wa mambo maana naamini humu ni kisima cha maarifa.. najua kuwa mamlaka yetu TCRA inao uwezo wa kujua unaowasiliana nao aidha kwa kupiga simu au kutuma sms. Je TCRA au mamlaka zingine za hapa kwetu wanaona uwezo wa kusoma au kujua unaowasiliana nao Whats App pindi wawapo na namba yako?Na kama hawana huwa wanawakamata vipi waharifu wa mitandao wanaotukana whatsApp? Naomba kuwasilisha asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa whatsapp kudukua aiwezekani ina end to end encryption so wewe (sender) na mpokeaji (receiver) ndo mnaweza ona ko apo mpaka wanaona manake receiver (mpokeaji )kakuchomesha
 
Kwenye whatsup kama unatukana huko kwenye magroup huwezi baki salama! Watu wanascreenshot au kuforward sms kwa watu flani hivi wa kitengo...
 
Tatizo la WhatsApp ni kila mtu anaona namba yako kwenye group so wanaenda kukuchoma. Kuna app nyinine ni private kabisa sema ndo hivyo sio popular.
 
Back
Top Bottom