Naomba kujua kirefu cha GPA

Naomba kujua kirefu cha GPA

Kuna chuo kina wahuni wameniandikia GPA 3.79 afu wakanambia GPA hainaga approx! Wamenifutia ndoto yangu ya kuwa MKUFUNZI, sasa nimekuwa MCHAFUZI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom