Naomba kujua kirefu cha DB na matumizi yake.

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Salam,

Kuuliza si ujinga coz najua kuwa technolojia inakuwa kwa kasi na misamiati ianongezeka kwa speed ya ajabu.

Nimeona kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kila bandiko lenye uelekeo wa kisiasa na haswa zinazohusu mkoa wa Dar es salaam, kunakuwa na coment yenye herufi mbili tu yaani "DB". Naomba kujua je herufi hizi zinasimama badala ya neno gani, na ni nini matumizi yake??

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom