texaz mc
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 371
- 205
HABARI WANA JUKWAA, POLENI NA MAJUKUMU!!
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu 2017, dhumuni la thread hii ni kuwa naomba kujua jinsi mitihani ya taifa ya kidato cha nne inavyosahihishwa, hapa nahitaji kujua:-
1. je, walimu wanaosahisha hutumia knowledge yake mwenyewe au anakuwa na guidance(marking scheme)?
2. tunajua kwamba hakuna mtu mkamilifu, ikatokea kuwa mwalimu alisahisha swali kwa uharaka na akamkosesha mwanafunzi je, kuna mtu yoyote anayewekwa maalumu kwa ajili ya kuhakiki mitihani hiyo?
3. Je, kila mwalimu husahisha mtihani mzima au swali moja tu?
4. Je, umakini pindi usahishaji unafanyika huwa ni kwa shule zote? Au wakisahisha mitihani ya shule kubwa kama FEZA ndo huwa makini zaidi na wakisahisha mitihani ya shule ambazo huwa ni za mwisho wanasahisha bila umakini wakiwa na mazoea kwamba hata wakisahisha kwa umakini bado itakuwa ya mwisho tu, hivyo wasipoteze muda wao kwa shule hizo?
5. Kwa masomo ya practical, huwa wanapigaje ilikupata maksi 100 kwa mitihani yote miwili?
Nawasilisha