Naomba kujua hili katika Application ya kozi ya Diploma

Naomba kujua hili katika Application ya kozi ya Diploma

petravkas91

New Member
Joined
Nov 8, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu members! Mie nimesomea Certificate ya Human Resource Management katika Chuo cha Mount Meru University kabla hakijafungiwa. Nahitaji kuendelea na Diploma. Kuna Chuo nimeapply kusoma wamenambia hawana Diploma in HRM lakin wanayo Diploma in Business Administration.

Je, naweza kusoma hiyo kozi bila shida yoyote kutoka Wizara ya Elimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom