JF ni tofauti social network zingine. Kwahiyo unapojisajili hakikisha upo makini ktk kuchagua jina na email sbb itakuchukua muda kurekebisha sbb hakuna sehemu ya kuedit zaid ya kuongea na mods waedit. Njia tofauti na mods haipo lbd ufungue account nyingine