Naomba kujua haya kuhusu mtoto mchanga

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,094
Habari,naomba kujua yafuatayo kuhusu mtoto mchanga
Mtoto mchanga anatakiwa apate choo mara ngapi kwa siku?
Mtoto mchanga anatakiwa aoge mara ngap kwa siku?
Mtoto mchanga kutapika mdomon na mengine kupitia puan tatizo ni nini?
Choo cha mtoto mchanga kinatakiwa kiweje?
Mtoto mchanga kushtukashtuka akiwa usingizin tatizo ni nini?
Mtoto mchanga inatakiwa anyolewe nywele akiwa na umri gani?
Mtoto mchanga anatakiwa anyonye kwa mda gan?
 
Anyonye hadi atosheke
Aoge mara nyingi kutegemea na hali ya hewa...
Kulia usiku hakuepukiki
Nywele anyolewe pindi zitakapokuwa... (asikae na nywele alizozaliwa nazo muda mrefu)
Choo .......
Kutapika.....
 
Anyonye kwa muda wa Miezi 6 bila kupewa chakula kingine chochote(exclusive breast feeding) baada ya hapo unamuanzishia vyakula laini kama vile Uji,Mtori...nk.

Kulia/kushtuka kama hana ugonjwa wowote Jaribu kumnyonyesha Vizuri kabla ya kulala ashibe Vizuri.

Mtoto anapata choo Jinsi anavyonyonya akinyonya zaidi tegemea atapata choo kila wakati, Choo kinakua laini kwani Asilimia kubwa anatumia vyakula laini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom