Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?
Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.
Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.
Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!
Nafikiri kitu kikubwa kuangalia ni upeo wa mtu,vipi naweza kuona mbali,unaweza ukawa na darasa la saba tu lakini ukawa creative/innovative man, waliunda ndege before hawakuwa na degree wala diploma...
Tatizo kubwa lililo ikuta tanganyika ni kutokana na ule urafiki,udugu,ndio nchi inapoelekea kubaya,pia siasa za kikoloni,sera za kidictetor, missing of human right,,,,usaniii mwingi,,,honestly kutoweka,,,,viongozi wanalipana wao kwa wao,,,,,umepewa uwongozi watu wamekupigia campain so lazima yu pay back,,,ndio tunaona hapo wanapewa uwongozi watu ambao vifuu wizi,matapeli na kuiitia hasara nchi,kikwete sio mbaya ila viongozi wake wabaya,wanamuharibia jina kabisa,....
Anachotakiwa kufanya kuacha urafiki na kuangalia cv za watu,pia kuweka watu under control kwa mfano,kuweka mfumo wa kisasa wakitechnology,kumtambua mtu elimu yale,history yake,address yake,......