Kenan john JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 221 Reaction score 290 May 20, 2018 #1 Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
BumbleBeeBot JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 532 Reaction score 897 May 26, 2018 #2 Kwangu ilikuwa uchovu, kukohoa, kizunguzungu, kuhis usingiz mda wote. Tumbo haliumi wala nn