Imebainika kuwa ku ejaculate angalau mara 21 kwa mwezi kunaepusha na kutopata Prostate cancer ukilinganisha na anaye ejaculate mara 4-7 kwa mwezi. My Take. Tuchukue tahadhari kabla ya hatari, kupigwa dole sio poa kabisa
Kuendekeza kufanya mapenzi ni setting ya brain tu utakavyoiset,mwili una natural mechanism ya kubalance kila kitu mwilini hivyo haviwezi kuleta madhara yeyote.
Ha wewe kweli
Hakuna madhara yoyote...
Jua tu ukikaa sana unasahau namna ya kufanya mapenzi...
Mwanamke akikuvulia tu unamwaga hata kabla hujamgusa...
Cc: mahondaw