naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

naomba kujua CODECAMPS na meets kwa dar

postgreSQL

Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
11
Reaction score
4
practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
 
Umeshawahi kufika Buni Hub - COSTECH sayansi?
 
hapana sojawahi kufika,
Basi hapo ndipo mahali pa kwenda. Nenda uwaambie unataka kujiunga kuwa member wakupe utaratibu. Buni Hub ni open innovative space filled with members who are well equiped with the skils you are searching to understand. Pia ndani yake kuna communities mbalimbali za programmers as well as events unazoweza kujiunga na kushiriki.
 
practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
Umefikia wap mkuu katika taaluma hii ? complete beginner, beginner, semi- professional , professional?
 
mimi sio professional coz sijawai kusoma computer darasani ila ni mtaaani tu, na program in python and/ (django), postgresql, css(bootsrap) , html, na basic pen testing. eg of my work is UALIMU website for educational courses
 
Mkuu this is a great step, ila to stay ahead, challenge yourself to make a well designed website then utaiweka kwenye portfolio yako. Hii itakusaidia mbeleni mtu akitaka kuona project zako.

nashukuru mkuu, i will keep it up,
 
practice makes perfect, naomba kujua sehem kuna codecamp na meeting kuhusu software engineering kwa dar, pia kama nitapata patner wa kubadilishana mawazo itakua vizuri zaidi au hata internship
So harakati zote za Tech Dar es salaam zipo Silicon Dar https://silicondar.org/ , pita hapo ujue , ukutane na wadau,

Ya intenship tukutane PM
 
Back
Top Bottom