Naomba kujua bei za tank ya maji

Naomba kujua bei za tank ya maji

highsense

Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
10
Reaction score
25
ndugu zangu habarini ya jumapil? naomba mwenye kujua bei za ma tank ya maji kama ya sim tank, poly tank nk. ni kwa mahitaji ya nyumbani tu. ujazo kuanzia lita 1,500-2500
 
Nenda soko kuu
 
Nenda soko kuu
ndugu zangu habarini ya jumapil? naomba mwenye kujua bei za ma tank ya maji kama ya sim tank, poly tank nk. ni kwa mahitaji ya nyumbani tu. ujazo kuanzia lita 1,500-2,500
 
ndugu zangu habarini ya jumapil? naomba mwenye kujua bei za ma tank ya maji kama ya sim tank, poly tank nk. ni kwa mahitaji ya nyumbani tu. ujazo kuanzia lita 1,500-2500
Bei ya Simtanks lita 2,000 ni kwenye 350,000 hivi; Lita 3,000 ni kwenye 500,000
 
Back
Top Bottom