dume
JF-Expert Member
- Apr 17, 2007
- 310
- 150
Wandugu wapendwa
Mwaka huu wa uchaguzi tumeshuhudia watu wakimwaga mabilioni kuhakikisha wanakwenda ikulu. Na hata pale walipokatwa bado wanaendelea kumwaga mabilioni kuhakikisha lazima wanafika ikulu
Hii imefanya niamini kua Urais unaweza kununuliwa, hivyo ningeomba mnipe bei ya Urais ili na mimi nijaribu kuunua kwa kupitia ACT