ukitaka mini laptop nzuri kibongo bongo tafuta
-thinkpad 11e hii ni ndogo zaidi version ya i3 ni bora zaidi, upatikanaji wake wa kutafuta ila zipo nishakutana nazo
-thinkpad 2xx series, sio mini laptop kivile ila 12 inch tunaweza sema ni ndogo pia, hii inakuja na variety za cpu kama zote na zinapatikana kwa wingi sana, mfano thinkpad x240, x230, x220, x260 etc
hizo ni real laptop kwenye umbo dogo
mini laptop nyingi zinakuwa na Atom series ya processor ambazo zipo slow sana, unless unaenda angalizia movies tu sishauri mtu kununua.
bei 200k mpaka 400k