chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Mar 31, 2017 #1 Habari wakuu wangu, naomba mwenye uzoefu wa bei za simu natumani humu jf wajanja ni wengi mno mimi nahitaji kuagiza pesa nikanunuliwe simu aina ya huawei p9 nlikua naomba nifahamu japo bei ili ntavyoagiza nisipigwe. Natanguliza shukrani. Asanteni
Habari wakuu wangu, naomba mwenye uzoefu wa bei za simu natumani humu jf wajanja ni wengi mno mimi nahitaji kuagiza pesa nikanunuliwe simu aina ya huawei p9 nlikua naomba nifahamu japo bei ili ntavyoagiza nisipigwe. Natanguliza shukrani. Asanteni