mkali kwanza JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,301 Reaction score 1,187 May 5, 2018 #1 Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante
Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,013 Reaction score 686 May 5, 2018 #2 mkali kwanza said: Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante Click to expand... Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv!
mkali kwanza said: Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante Click to expand... Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv!
mkali kwanza JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,301 Reaction score 1,187 May 5, 2018 Thread starter #3 korino said: Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv! Click to expand... asante sana mkuu
korino said: Inategemea na ukubwa na aina pia! Lkn kwa za mtumba saiz ya kati...sio ndogo wala sio kuuubwa unaweza pata kwa laki 6 hv! Click to expand... asante sana mkuu
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,013 Reaction score 686 May 5, 2018 #4 mkali kwanza said: asante sana mkuu Click to expand... Poa
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 May 6, 2018 #5 mkali kwanza said: Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante Click to expand... Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa
mkali kwanza said: Habari wana JF, Naombeni msaada kwa mwenye kujua bei za DEEP FREEZER, used au mpya bei zake zikoje? Nitashukuru kama nitapewa mrejesho(feedback) Asante Click to expand... Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa
mkali kwanza JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 1,301 Reaction score 1,187 May 6, 2018 Thread starter #6 Hammy Js said: Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa Click to expand... aina gani mkuu
Hammy Js said: Mi nilinunua mwaka jana 450k jipyaa dukani kkoo, Boss zaid ya kati...ni shiiiiidah,linapiga kazi balaa Click to expand... aina gani mkuu
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 May 6, 2018 #7 mkali kwanza said: aina gani mkuu Click to expand... Boss
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 May 6, 2018 #8 3hrs ishagandisha
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,461 Reaction score 40,261 Jan 12, 2019 #9 Kwa sasa na huu mgao, freezer haliepukiki