inaanzia 1.2 mpaka 1.9 wewe tuHabari wana JF mm nauliza yeyote aliko anaejua bei ya computer aina ya APPLE MTUMBA NA MPYA anijuze na ile ya bei ya chini kabisa anisaidie nahitaji kupata hyo
Mbarikiwe
Habari wana JF mm nauliza yeyote aliko anaejua bei ya computer aina ya APPLE MTUMBA NA MPYA anijuze na ile ya bei ya chini kabisa anisaidie nahitaji kupata hyo
Mbarikiwe
Utanipa Ng'ombe ngapi nikupe yang. Nimeinunua mwaka jana mwezi Sept. ina miez 4 tu.Niko shy
Ukiwa unauza nishtueMimi ninayo used but sijaitumia sana ila sasa SIUZI.