Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Nani anamjua vizuri ndg Samson Mwigamba. Naomba atuwekee CV yake hapa jf
tupate kumfahamu vizuri.
Mandla
Muulize muajiri wake wa zamani ndio anajua CV yakeWana JF,
Nani anamjua vizuri ndg Samson Mwigamba. Naomba atuwekee CV yake hapa jf
tupate kumfahamu vizuri.
Mandla
ACT mkombozi wa kweliNi katibu wa chama gani? Kweli maajabu Bongo hayatakaa yaishe.
Yawezekana ukawa na uhusiano wa karibu sana na Mwigamba kwa jinsi unavyomwelezea kwa ufasaha! Ni mkewe nini?Samson mwigamba alikuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha, wakamuogopa kwa sababu ya elimu yake kubwa wakidhani atawanyang'anya madaraka, sasa ni katibu mkuu wa ACT
Ni katibu wa chama gani? Kweli maajabu Bongo hayatakaa yaishe.
Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema
Nenda Google kisha andika Samson Mwigamba Latest CV.Wana JF,
Nani anamjua vizuri ndg Samson Mwigamba. Naomba atuwekee CV yake hapa jf
tupate kumfahamu vizuri.
Mandla
ACT mkombozi wa kweli
Ana CPA ya uhasibu ndio mana alikuwa mhasibu mkuu wa chadema
Alipofukuzwa Chadema alitangaza KAMWE kutoshiriki siasa
Ila Zitto anavinguvu kamrejesha
hivi ni kwa nini hawa buku saba wa ccm lumumba wote ni washabiki wa ACT?