J Janemo Senior Member Joined Aug 17, 2016 Posts 106 Reaction score 38 Jun 19, 2017 #1 Habari zenu wana JF Naomba kufahamu ni center zipi kwa mkoa wa Dar es salaam wanatoa mafunzo ya computer? Na ada zao zipoje? Kwa anaefahamu naomba kujuzwa Asanteni.
Habari zenu wana JF Naomba kufahamu ni center zipi kwa mkoa wa Dar es salaam wanatoa mafunzo ya computer? Na ada zao zipoje? Kwa anaefahamu naomba kujuzwa Asanteni.