very simple prices due to low/poor quality
Tecno tablet t9 290000
Tecno tablet q9 350000
KARIBU Sana ndugu, ni simu nzuri ubora wake ni mkubwa na Zina warranty
Naomba kufahamishwa, Je ubora, ufaninisi na uwezo wa tablets za techno ukoje? (samsung yangu imechukuliwa na mtu, na sina pesa ya kununua nyingine wiki hii, ndo maana nataka nijishikize na techo) bei zikoje ?