Naomba kufahamu tofauti kati ya research, dissertation na thesis

Wakuu naomba kuwasilisha.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Zote ni tafiti (research) zikitofautishwa kwa madhumuni au lengo kuu.

"Research" ni tafiti ya kawaida kujua undani wa jambo lisilojulikana vizuri au kupata taarifa zilizo sahihi

"Dissertation" ni tafiti kama sehemu ya shahada ya elimu ya juu hasa Uzamili (Masters)

"Thesis" lengo lake ni kama la "Dissertation" tofauti ni namna tafiti hiyo huandaliwa na kufayika. "Thesis" hutumia maandiko ya tafiti zingine badala ya kwenda "field" na hutumika hasa hasa kwa ajili ya shahada ya Uzamivu (PhD)
 
Hongera!
 
Umekariri kijana! Jipange kwanza
 
mmmmh,,... ebu jipange upya tuone
 
Naomba kufahamu tofauti kati ya research, dissertation na thesis

Wakuu naomba kuwasilisha.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Research ni mchakato wa utafiti ambao hutupa jibu kwa swali tulilouliza. Katika vyuo matokeo ya utafiti huwakilishwa kwa mwanafunzi kuandika dissertation au thesis (ipi ni ipi hutegemea na chuo/ nchi). Thesis/ dissertation ndio andiko linalotumika kuamua kama umefaulu au la. Kimsingi kwenye andiko hilo utaeleza mchakato uliopitia, matokeo uliyopata, na matokeo hayo yana maana gani na recommendations zako.
 
Kwa ufahamu wangu, research ni utafiti. Anayefanya dissertation na anayefanya thesis wote hufanya utafiti. Tofauti zilizopo
1. Mara nyingi, kama sio zote, anayefanya utafiti kwa thesis Jana kipengele cha coursework. Haingii darasani kupambana na mitihani itakayoingia kwenye cheti. Kama atalazimika kusoma kozi military tatu huchagua to zile zitakazomsaidia kwenye utafiti. Anayesoma kwa coursework and dissertation, sehemu ya coursework, kuingia class na kupiga mitihani hasa kwa mwaka mzima wa kwanza kuwa ni kipaumbele na lazima. Zamani masters na PhD nyingi zilikuwa kwa thesis, lakini siku hizi zipo masters na PhD nyingi to zinatolewa kwa coursework and dissertation.
2. Kwa sababu ya muda kubanwa kwa anayefanya kwa coursework and dissertation, mzigo wake wa utafiti hutegemewa kuwa mwepesi kidogo kuliko wa anayefanya kwa thesis, unless muda ukawa compensated and comparable. Mfano, mkipewa miaka mitatu ya PhD, huyu wa dissertation atakuwa na only two years za utafiti while wa thesis atatumia miaka yote mitatu kwa utafiti. Vyuo vingi, though sio vyote, vitambana huyu wa thesis kutoa machapisho zaidi ya mawili huku vikimbana yule wa dissertation kutoa chapisho moja na kuendelea. Kuondoa hiyo tofauti na kuwatahini sawa baadhi ya vyuo na baadhi ya course zimeaccomodate suala hili la muda. Kwa mfano PhD in Environmental Science, yule wa coursework and dissertation atahangaika nayo kwa miaka minne, wakati yule wa thesis atatakiwa kupambana kwa miaka 3. In the end wote watakuwa wametumia miaka 3 kufanya utafiti. Mengine tunaendelea kujifunza
 
Zote ni tafiti (research) zikitofautishwa kwa madhumuni au lengo kuu.

"Research" ni tafiti ya kawaida kujua undani wa jambo lisilojulikana vizuri au kupata taarifa zilizo sahihi

"Dissertation" ni tafiti kama sehemu ya shahada ya elimu ya juu hasa Uzamili (Masters)

"Thesis" lengo lake ni kama la "Dissertation" tofauti ni namna tafiti hiyo huandaliwa na kufayika. "Thesis" hutumia maandiko ya tafiti zingine badala ya kwenda "field" na hutumika hasa hasa kwa ajili ya shahada ya Uzamivu (PhD)
Na abstract ni nini?
 
Kwa ufahamu wangu, research ni utafiti. Anayefanya dissertation na anayefanya thesis wote hufanya utafiti. Tofauti zilizopo
1. Mara nyingi, kama sio zote, anayefanya utafiti kwa thesis Jana kipengele cha coursework. Haingii darasani kupambana na mitihani itakayoingia kwenye cheti. Kama atalazimika kusoma kozi military tatu huchagua to zile zitakazomsaidia kwenye utafiti. Anayesoma kwa coursework and dissertation, sehemu ya coursework, kuingia class na kupiga mitihani hasa kwa mwaka mzima wa kwanza kuwa ni kipaumbele na lazima. Zamani masters na PhD nyingi zilikuwa kwa thesis, lakini siku hizi zipo masters na PhD nyingi to zinatolewa kwa coursework and dissertation.
2. Kwa sababu ya muda kubanwa kwa anayefanya kwa coursework and dissertation, mzigo wake wa utafiti hutegemewa kuwa mwepesi kidogo kuliko wa anayefanya kwa thesis, unless muda ukawa compensated and comparable. Mfano, mkipewa miaka mitatu ya PhD, huyu wa dissertation atakuwa na only two years za utafiti while wa thesis atatumia miaka yote mitatu kwa utafiti. Vyuo vingi, though sio vyote, vitambana huyu wa thesis kutoa machapisho zaidi ya mawili huku vikimbana yule wa dissertation kutoa chapisho moja na kuendelea. Kuondoa hiyo tofauti na kuwatahini sawa baadhi ya vyuo na baadhi ya course zimeaccomodate suala hili la muda. Kwa mfano PhD in Environmental Science, yule wa coursework and dissertation atahangaika nayo kwa miaka minne, wakati yule wa thesis atatakiwa kupambana kwa miaka 3. In the end wote watakuwa wametumia miaka 3 kufanya utafiti. Mengine tunaendelea kujifunza
Na abstract ni nini?
 
Do you want to deliver highly appealing and scientifically competitive research outputs?

Let's Help You with All Your Research Data Problems: From Data Collection to Data Analysis, and Reports

We employ robust and rigorously-tested algorithms to provide automated data and research solutions with high efficiency, high precision, and unprecedented accuracy, from data collection to data analysis, and reports.

See data visualizations demo:

and sample data and research solutions:

Naomba kufahamu tofauti kati ya research, dissertation na thesis

Wakuu naomba kuwasilisha.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Research is a study or investigation. It may be basic which investigates a problem without necessarily intending to use results to solve the problem investigated. Research maybe applied, in the sense that results are going to be used in solving the problem investigated. Dissertation is a study or investigation undertaken to fulfill conditions to be conferred a Ph.D. (doctoral degree) while a thesis is a study or investigation undertaken to fulfill conditions to be conferred a masters degree. You may therefore call dissertations and thesis academic exercises.
 
Back
Top Bottom