Naomba kufahamu kuhusu Tethering kwenye Android

Naomba kufahamu kuhusu Tethering kwenye Android

Epicauta elbovitata

Senior Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
143
Reaction score
19
Habari zenyu wakuu.. Hili Swali langu linalenga Devices za Androids.

Nafahamu Kuwa unaeza ukafanya Teathering n turn your phone into a wifi hotspot sasa SWALI langu ni kwamba JE inaezekana ukaconnect kwene any Wireless Internet na simu yako THEN ndo ufanye Teathering kushare ile Internet ambayo umeconnect!!!?? Me kila device nliojaribu inaniambia nidisconnect First from wireless then ndo nifanye Teathering..

Je kuna a way around this maana hizi devices za android kuna tweaks kibaoo... Na kama Hamna way around it WHY!?? technical explanation will Be appreciated..

NAWAKILISHA
 
Epicauta elbovitata,

Hili haliwezekani kwanza halina msingi. Kama upo kwenye eneo lenye wifi, na una vifaa vyenye wifi. Kwanini hiyo wifi �� ipitie kwenye simu kwanza halafu tena ndio simu ifanye broadcast?

Kwanini hizo devices zisidake hiyo wifi moja kwa moja?

NI SAWA NA KUVAA MIWANI MCHANA, THEN UTUMIE TOCHI ILI KUONA.
 
Last edited by a moderator:
Hili haliwezekani kwanza halina msingi. Kama upo kwenye eneo lenye wifi, na una vifaa vyenye wifi. Kwanini hiyo wifi  ipitie kwenye simu kwanza halafu tena ndio simu ifanye broadcast?

Kwanini hizo devices zisidake hiyo wifi moja kwa moja?

NI SAWA NA KUVAA MIWANI MCHANA, THEN UTUMIE TOCHI ILI KUONA.

Asante Bro kwa Response yako..Ukiniambia Haiwezekani sawa lakin Ukisema halina msingi Unakosea kwa sababu hujajua Circumstances zinazonifanya nitake kufanya hivo..

Okey Ngoja nikupe Mfano.. Huwa in our class kuna port moja tu ya ethernet so huwa anaconnect anaewahi kufika then anashare na PC yake BUT the problem is huyu jamaa kama anatumia UBUNTU huwa siioni hiyo wireless kwene my Win 8.1 PC but i see it in my phone.

Hata kama ni mtu anatumia Win 7 pia i don se the connection in my Win8.1 unless atumie Connectify but i can connect in my Phone.
 
Epicauta elbovitata,

Vipo vifaa vinavyofanya Re-broadcast. Yaani boosters. Zinapokea wifi.

Yenye weak signal na kuiongezea strength na kuibroadcast upya. Kumbuka hata ROUTERS zenye inbuilt wifi access point, sio zote zenye uwezo wa kupokea wifi signal.

Bali zinapokea kutoka kwenye ethernet au kutoka kwenye inbuilt modem either kwa analog or radio. Then itabroadcast kwenye wifi. So kwa simu sijaona na nadhani ni kutokana na kwamba wameliona hili swala lina mbadala.
 
Last edited by a moderator:
Kaka una adapter moja ya wifi na driver moja ya wifi hivyo either uitumie kupokea wifi au uitumie kumrushia mtu wifi.

Kufanya vyote viwili inawezekana lakini hadi mtu atengeneze upya driver nyengine ili hardware 1 ya wifi itumike kama adapter mbili tofauti. Mfano mzuri ni hio connectify jamaa walikaa wakaandika code from scratch za adapter ya wifi ndio maana wakaweza kureceive wifi na kushare wifi kwa mpigo.

Even kwa android kwa theory inawezekana kabisa na huwenda ikawa watu wanafanya ila ndio hivyo itabidi mtu aandike upya driver, kitu ambacho ni kigumu kwa mtu mmoja kufanya
 
ndio maana nimesema hili swala halina msingi, hata hiyo connectify inaShare wifi kutokea kwenye ethenet, na sio WIFI to WIFI. hata kwenye computer ya kawaida yenye wifi, inawezekana kushare kutoka kwenye ethenet au modem.
 
Connectify inashare wifi to wifi kaka hawa jamaa waliandika upya adapter yao. Tena inauwezo wakuchukua multiple wifi networks na kuifanya wifi moja yenye nguvu
 
Epicauta elbovitata,

Inawezeka, ila kuna disadvantanges nyingi kama interference kwenye network(physical layer)->(kama device inatumia hardware moja kama emitter au receiver)

Na pia matumizi ya umeme yataongezeka. thats y nafikir android wamehamua ku-disable feature hiyo. Ki-makert zaidi wewe kama mtumiaji wa simu, utapendelea simu ambayo inakaa na charge zaidi kuliko ambayo .......

kwa baadhi ya Nokia, kitu kama hicho kinawezeka, mfano Nokia yangu E72 inasupport
 
Last edited by a moderator:
Inawezeka, ila kuna disadvantanges nyingi kama interference kwenye network(physical layer)->(kama device inatumia hardware moja kama emitter au receiver)
na pia matumizi ya umeme yataongezeka. thats y nafikir android wamehamua ku-disable feature hiyo. Ki-makert zaidi wewe kama mtumiaji wa simu, utapendelea simu ambayo inakaa na charge zaidi kuliko ambayo .......

kwa baadhi ya Nokia, kitu kama hicho kinawezeka, mfano Nokia yangu E72 inasupport

simu za symbian zina adhoc hazina wifi acess point hivyo huwezi ukafanya anachosema jamaa.
 
simu za symbian zina adhoc hazina wifi acess point hivyo huwezi ukafanya anachosema jamaa.

U are 100% WRONG.
kwa ushahidi na kuepuka mabishana yasio na msingi.
picha zifuatazo zinaonyesha nikifanya kama jamaa anavyosema nikitumia E72

Picha ya pili ki-icon kidogo kwa chini katikati ,kinaonyesha nikitumia wifi at the same time natumia app ya joikusport Kufanya-tethering
 
Attachments

  • 00145.jpg
    00145.jpg
    8.8 KB · Views: 116
  • 00144.jpg
    00144.jpg
    8.2 KB · Views: 112
  • 00143.jpg
    00143.jpg
    6.3 KB · Views: 114
  • 00146.jpg
    00146.jpg
    5.2 KB · Views: 105
  • 00147.jpg
    00147.jpg
    6.6 KB · Views: 93
U are 100% WRONG.
kwa ushahidi na kuepuka mabishana yasio na msingi.
picha zifuatazo zinaonyesha nikifanya kama jamaa anavyosema nikitumia E72

Picha ya pili ki-icon kidogo kwa chini katikati ,kinaonyesha nikitumia wifi at the same time natumia app ya joikusport Kufanya-tethering

ndio ni adhoc sasa, unafkiri kila kifaa kinasuport adhoc? mfano mzuri tafuta simu ya android halafu tengeneza joikuspot yako uone kama simu ya android itaiona hio wifi.

So unachofanya wewe unachukua wifi(acess point) unaibadili na kuwa wifi (adhoc) na kuirusha. unaporusha wifi kwa adhoc unakuwa limited sana mimi nimetumia symbian sana naifahamu vizuri hii limitation kuna vifaa kibao havisupport hio mode.
 
ndio ni adhoc sasa, unafkiri kila kifaa kinasuport adhoc? mfano mzuri tafuta simu ya android halafu tengeneza joikuspot yako uone kama simu ya android itaiona hio wifi.

so unachofanya wewe unachukua wifi(acess point) unaibadili na kuwa wifi (adhoc) na kuirusha. unaporusha wifi kwa adhoc unakuwa limited sana mimi nimetumia symbian sana naifahamu vizuri hii limitation kuna vifaa kibao havisupport hio mode.

Huko sahihi mkuu.
 
huko sahihi mkuu

usiwe na wasiwasi kwenye technology huwa hatudanganyani kila kitu kina proof hebu tuanze hapo hapo, tafuta simu ya android tengeneza hio wifi yako then mwambie aconect lete feedback
 
U are 100% WRONG.
kwa ushahidi na kuepuka mabishana yasio na msingi.
picha zifuatazo zinaonyesha nikifanya kama jamaa anavyosema nikitumia E72

Picha ya pili ki-icon kidogo kwa chini katikati ,kinaonyesha nikitumia wifi at the same time natumia app ya joikusport Kufanya-tethering

Symbian to PC = Yes
Symbian to Android = Never exist.

Nimetumia sana hiyo Joikuspot premium na booster yake na haikuweza kushare na android, nakuitumia device ya symbian kama hotspot nikuua betri tu.
 
samahani mkuu nisaidie mimi natumia moderm kwenye laptop yangu je kuna uwezekano wa
laptop yangu nitumie wifi kupeleka kwenye simu yangu ya samsung
 
Symbian to PC = Yes
Symbian to Android = Never exist.

Nimetumia sana hiyo Joikuspot premium na booster yake na haikuweza kushare na android, nakuitumia device ya symbian kama hotspot nikuua betri tu.

false statement
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom