clap
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 188
- 97
Katika pitapita zangu mjin iringa nimekutana na duka lina ving'amuz vya startime ila wanatumia dish sasa swali je hawa ni matapeli au ni kweli iringa startimes inapatikana maana ni duka moja tu ndo lina hicho king'amuz kwa wataalamu na wananch wa iringa naomba msaada