Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari
Kwa mwenye kuzielewa atupe maelezo kiundani uimara,gharama zake na upatikanaji wake mfano kwa dar es salaam hupatikana wapi.
Katka sifa zake nikwamba wanasema matumizi ya maji ni kidogo,muda pia na cement hutumika kwenye msingi na kwenye rinter juu....matofar haya hupangwa tu bila kutumia cement waka udongo yametengenezwa kwa mfumo wa kuwa na lock zinazoshikana unapozikutanisha na ndo mwanzo mwisho.
Nia na dhumuno kuweka hapa tuelezane wap zinapatikana na gharama zake zipo vp ili kama kuanza kujipanga tuanze mdogo mdogo mjengo mpango mzma kwa kijana wa sasa