nasikia kwmb kozi za driving muda wake huwa sio zaidi ya week 8
Sawa kabisa. nilisikia mahala kuwa cozi nyingi za udereva ni within wiki 8Kama C-Plain ni siku 10 tu.
Nafkiri unatakiwa usomee Class E kwanza itumike mwaka mmoja then usomee PSV au Advanced Drivers Course Grade II (VIP Driving Course).
Ukisoma PSV utapata C1 ila ukisoma ADCG II utapata C123. Itumike mwaka mmoja halaf usomee C-Plain itumike mwaka mmoja then ndio usome hiyo course unayotaka kusoma.
nasikia kwmb kozi za driving muda wake huwa sio zaidi ya week 8
Kama C-Plain ni siku 10 tu.
Kuna madereva wengne wana lesen had class E ila walizpta kwa njia shortcut:,hawakusomea wala kwenda course ya aina yoyote!!! Na lesen hyo ina miaka 2 na miez kadhaa..Nafkiri unatakiwa usomee Class E kwanza itumike mwaka mmoja then usomee PSV au Advanced Drivers Course Grade II (VIP Driving Course).
Ukisoma PSV utapata C1 ila ukisoma ADCG II utapata C123. Itumike mwaka mmoja halaf usomee C-Plain itumike mwaka mmoja then ndio usome hiyo course unayotaka kusoma.
Kuna madereva wengne wana lesen had class E ila walizpta kwa njia shortcut:,hawakusomea wala kwenda course ya aina yoyote!!! Na lesen hyo ina miaka 2 na miez kadhaa..
Je, mtu huyu anaruhusiwa kwenda NIT na kuomba kusomea PSV ????
Na je,, class C plain anaruhusiwa kuisomea????
Nimesoma nikapata leseni daraja LA b na d he naweza kwenda not kwa course ya tracks?
Kumbe ni kasafari karefu kufikia level ya Senior/VIP Driving... si chini ya 3 YEARS! Thanks mkuu, umenipa mwanga.
Je vipi kuhusu Motor Vehicle Mechanics... huwa kuna short courses? just a basic level.
-Kaveli-
Sikuwahi kusomea udereva , nataka niendeshe gari kubwa, mafunzo na sheria zake zikoje? Itanichukua muda gan?Ndio, ukiwa na B na D ambayo imetumika mwaka mmoja unaruhusiwa kusomea E ambayo inakurusu kuendesha magari makubwa mkuu.
Siku
Sikuwahi kusomea udereva , nataka niendeshe gari kubwa, mafunzo na sheria zake zikoje? Itanichukua muda gan?
Kwa kawaida ukitaka mafunzo ya kuendesha gari kubwa unatakiwa kuwa na leseni inayokuonesha kuwa umesoma mafunzo ya kuendesha magari madogo iliyotumika mwaka au walau miezi nane ndio watakupoke.
Na pia hujasema ni gari kubwa lori au basi la abiria. Kama ni lori unaweza ukafanya mpango wa kupata kwanza leseni ya B na D kwa njia ya uwani baada ya hapo unajiunga na kozi ya magari makubwa. Aidha, Kama ni gari kubwa za abiria huwezi kuruka ni lazma upitie hatua kadhaa kuweza kufika hapo.
Sheria ndio hizo na muda kwa gari kubwa ni siku 10 HGV kozi yake mara ya mwisho ilikuwa ni 515,000/10days.
Sjui ntakuwa nimekujibu.
Samahani ninaomba kuuliza utaratibu wa kujiunga chuo cha udereva unakuwaje?, coz kuna mtu alienda chuoni akaambiwa aende kulipia benk kabla hata ajapewa fomu ya kujiunga, na hata alipoomba fomu aliambiwa hawezi kupewa fomu kabla hajaenda kulipia benk hela ya mafunzo ya udereva, sasa sjui kuwa ndiyo inavyokuwa, ninaomba mnisaidie kunielewesha, na huwa ni shilingi kwa kozi ya miezi miwili.Kwa kawaida ukitaka mafunzo ya kuendesha gari kubwa unatakiwa kuwa na leseni inayokuonesha kuwa umesoma mafunzo ya kuendesha magari madogo iliyotumika mwaka au walau miezi nane ndio watakupoke.
Na pia hujasema ni gari kubwa lori au basi la abiria. Kama ni lori unaweza ukafanya mpango wa kupata kwanza leseni ya B na D kwa njia ya uwani baada ya hapo unajiunga na kozi ya magari makubwa. Aidha, Kama ni gari kubwa za abiria huwezi kuruka ni lazma upitie hatua kadhaa kuweza kufika hapo.
Sheria ndio hizo na muda kwa gari kubwa ni siku 10 HGV kozi yake mara ya mwisho ilikuwa ni 515,000/10days.
Sjui ntakuwa nimekujibu.
[emoji115] kakujibu vizuri sanaSamahani ninaomba kuuliza utaratibu wa kujiunga chuo cha udereva unakuwaje?, coz kuna mtu alienda chuoni akaambiwa aende kulipia benk kabla hata ajapewa fomu ya kujiunga, na hata alipoomba fomu aliambiwa hawezi kupewa fomu kabla hajaenda kulipia benk hela ya mafunzo ya udereva, sasa sjui kuwa ndiyo inavyokuwa, ninaomba mnisaidie kunielewesha, na huwa ni shilingi kwa kozi ya miezi miwili.
ooh thanks[emoji115] kakujibu vizuri sana
Samahani ninaomba kuuliza utaratibu wa kujiunga chuo cha udereva unakuwaje?, coz kuna mtu alienda chuoni akaambiwa aende kulipia benk kabla hata ajapewa fomu ya kujiunga, na hata alipoomba fomu aliambiwa hawezi kupewa fomu kabla hajaenda kulipia benk hela ya mafunzo ya udereva, sasa sjui kuwa ndiyo inavyokuwa, ninaomba mnisaidie kunielewesha, na huwa ni shilingi kwa kozi ya miezi miwili.