specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Hata uwe na Masters ya Accountancy plus phd ya Accountancy you will never be granted exemption to start intermediate unless you have a bachelor degree in Accountancy au Bba with Accounting major. Utaanza foundation stage.
Nikweli ndugu?basi hii noma.....
ni kweli na pia ukiwa na advanced diploma in accountancy unaruhusiwa kuanza final stage
ni kweli na pia ukiwa na advanced diploma in accountancy unaruhusiwa kuanza final stage
Hata uwe na Masters ya Accountancy plus phd ya Accountancy you will never be granted exemption to start intermediate unless you have a bachelor degree in Accountancy au Bba with Accounting major. Utaanza foundation stage.
na kwa wale tuliosoma finance tunaanza na stage ipi na kama nikiwa serious itanichukua muda gani kumaliza cpa sababu na plan za kuanza cpa mwezi wa saba
bado kidogo nimwite afande kova nilijua vile vyeo vya polisi mpwa ...
specialist88 kuna exemption ya baadhi ya masomo...nakupa moyo ingia kote na nakuhakikishia utazipata zote na ni rasilmali nzuri kwako
Haahaaaa mkuu specialist wiwa basi unirushie hata tigo pesa nianze kuiona ijumaa mapema namba yangu ni ile ile mwisho 333 mungu akubariki mtandao naogopa kuutaja wengine una maana ya ajabu hope umeelewa
Pdidy tusubiri vocha za mjomba Edward Lowasa maana anamwaga pesa kama uchafu,.....