Anacho kimaanisha chief ni kwamba kama pc yako ina partition basi isi install kwenye partition yenye window install kwenye partition nyingine na kwenye kuchagua space mfano 4Gb ,8Gb hakikisha kweli ipo hiyo space utakayo chagua.
Baada ya kuzima na kuiwasha uwe mvumilivu tu ikimaliza itawaka na itakutaka uchague lugha basi hapoutakuwa ume maliza binafsi nilisha fanikiwa. Ni simple sana.

hio ni full operAting system na sio app utahitaji kuzima computer then ikiwaka utapewa option mbili either kuboot kwenye android (phoenix os) au windows 8.1

Mkuu uninstall hilo file kisharudia tena pole pole na hakikisha utakapo weka hiyo phoenix os uwe na space ya kutosha. Mfano ukichagua 4G hakikisha hard disk yako unapo weka hilo file hiyo space ipo na ukimaliza restart pc yako, uwe mvumilivu kidogo kama dakika 3 hadi 5.