evance hubert
Member
- Oct 14, 2012
- 36
- 20
Vigwaza machungwa yanakubali ila changamoto ni kwamba hayawezi kukaa kwenye mti mda mrefu hivyo utakuwa unauza kwa bei ya hasara sio kama muhezaMi na mashamba Vigwaza pwani ni kichanga tifutifu ni ardhi nyeusi
Je inafaa wakuu mnishauri
Valencia inakubali Mkoa wa Pwani ila kwa ubora haiwezi kuwa kama ya muhezaJe, hiyo aina ya Valencia inakubali Muheza tu au hata Pwani?
Hi! Msimu gani unafaa kupanda? Miche /mbegu ni tsh ngapi kwa ekari mojaMimi nipo Muheza Tanga na mkulima mdogo wa machungwa. Mbegu zipo nyingi ila zinazotumika kwa sasa ni msasa na valencia. Tofauti yake ni kwamba msasa unakomaa mapema na unakulazimisha kuuza mapema mbegu hii hulimwa na wakulima wenye kipato cha chini ambao hawawezi kuvumilia njaa. Bei yake shambani huanzia Tsh 20 mpaka Tsh 50. Valencia ndio mbegu inayopendwa na wakulima wengi kwani inaweza kukaa muda mrefu shambani. Pia chungwa linaweza kuuzwa mpaka Tsh 100 au zaidi ya hapo.
UNAPATAJE FAIDA?
Ukiwa na shamba ekari moja inaweza kuingia michungwa 80 ambao utakapokomaa vizuri unaweza kuzaa hata machungwa 1000.
Wekea umezaa machungwa 800 zidisha mara michumgwa 80 unapata 64000 zidisha mara 100 kama ni valencia unapata Tsh 6400000/=
GARAMA ZA KUHUDUMIA
Shamba la michungwa litahitaji huduma za ukaribu katika miaka mitatu ya mwanzo baada ya hapo itakuwa ni kulimia tu na kufanya usafi Mwingine kama prunning ambazo hazifiki hata laki tano kwa mwaka. Kumbuka hapo nimepiga hesabu ya ekari moja tu.
CHANGAMO
Machungwa hasa valencia uwezekano wa kushambuliwa na magonjwa ni mdogo sana changamoto kubwa ni wezi na machungwa kuanguka kama utakuwa unasubiri bei kubwa.
SOKO
Zamani soko la machungwa lilikuwa ni changamoto kubwa kwani mikoa iliyokuwa inapokea machungwa ilikuwa ni Dar na Arusha tu ila kwa sasa soko ni kubwa mpaka Nairobi na mombasa kwa mfano inafikia kipindi ukiwa na machungwa shambani wateja wanakusumbua wewe.
UPATIKANAJI WA MASHAMBA
Mashamba yanapatikana ila kwa tabu na bei yake iko juu kidogo.
KUHUSU WAFANYAKAZI
Wafanyakazi wanapatikana pia unaweza kujenga nyumba ya kawaida shambani na Mtu akakaa huko huko kwa Ulinzi.
Nafikiri nimekujibu japo kidogo.
Pia nimepiga hesabu ya ekari moja na pia mchungwa unaweza kuzaa mara mbili kwa mwaka.
Somo. Natamani kujua toka kupanda mbaka kuvuna inachukua muda gani?
nawezapata connection ya wauza mashamaba huko Mheza bei zake, haina ya umiliki wa mashamba huko panafikika muda wote????Fika muheza ndani ndani kuna kijiji kinaitwa mashewa mashamba ni bei rahisi tofauti na yaliyopo barabara kuu ya Tanga _segera
Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tunawezapata connection ya wauza mashamaba huko Mheza bei zake, haina ya umiliki wa mashamba huko panafikika muda wote????
Mwezi wa pili nina safari ya Tanga, Mailkumi, Mheza kicheba, na Pangani wish nikifika kicheba nipate connection ya kufika huko na kujua taratibu mazingara ya uwekezaji na kuona mawili matatu, but mail kumi ninashamba pale nilinunua mwaka jana lina michungwa sema ni ya Asili.Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tu
Unataka uanze kulitumia lini mkuu
Mkuu kama una shamba maili kumi kwanini usibadilishe ukapanda mbegu ya kisiasa?Mwezi wa pili nina safari ya Tanga, Mailkumi, Mheza kicheba, na Pangani wish nikifika kicheba nipate connection ya kufika huko na kujua taratibu mazingara ya uwekezaji na kuona mawili matatu, but mail kumi ninashamba pale nilinunua mwaka jana lina michungwa sema ni ya Asili.
Asante kwa darasaMimi nipo Muheza Tanga na mkulima mdogo wa machungwa. Mbegu zipo nyingi ila zinazotumika kwa sasa ni msasa na valencia. Tofauti yake ni kwamba msasa unakomaa mapema na unakulazimisha kuuza mapema mbegu hii hulimwa na wakulima wenye kipato cha chini ambao hawawezi kuvumilia njaa. Bei yake shambani huanzia Tsh 20 mpaka Tsh 50. Valencia ndio mbegu inayopendwa na wakulima wengi kwani inaweza kukaa muda mrefu shambani. Pia chungwa linaweza kuuzwa mpaka Tsh 100 au zaidi ya hapo.