baby nillaah
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 110
- 64
habarini wanajamvi Mimi naomba kuuliza kwa anaejua bei za rasta prima afro aina zote ikiwemo wavings,rasta zenyewe,jamii ya selfie rasta ni bei gani kwa kiwandani naomba kuuliza na je?wanafunga mzingo kuanzia sh ngapi kwa kiwandani moja moja ,.....nataka nifanye hii biashara so nataka kujua kwnza bei yake