Naomba kufahamishwa vigezo vya kusoma Diploma ya Medical Laboratory Muhimbili

cheu yang

Senior Member
Mar 4, 2017
115
82
waliosoma muhimbili diploma ya medical laboratory vigezo vyake ni vipi wakuu mpaka uingie pale
 
vipi kuhusu ada?
Ada yake ni kubwa kuliko vyuo vya Wizara ila ni ndogo ukilinganisha na vyuo vya private

Haizidi Tsh 1,400,000/-

( Tsh 800,000 - 1,400,000/- )

Kwasasa hawapati chakula na ndio maana ada yake imeshuka ila Hostel utapata
 
kwan kuna guiding book kwa wana diploma
 
Ada yake ni kubwa kuliko vyuo vya Wizara ila ni ndogo ukilinganisha na vyuo vya private

Haizidi Tsh 1,400,000/-

( Tsh 800,000 - 1,400,000/- )

Kwasasa hawapati chakula na ndio maana ada yake imeshuka ila Hostel utapata
Aisee mkuu, umenifungua kidogo! Nina dogo hapa nataka akasomee hayo mambo ya medical lab, na amepata biology - c, chemistry- d, physics- c! Hivi mbali na kozi hiyo pale muhas, kozi gani tena nyingine pale inatolewa mbali na hiyo medical lab?
 
1.Environmental Health Sciences

2.Nursing ( General )

3.Medical Laboratory Sciences

4.Pharmacy

5.Diagnostic Radiography

6.Orthopedic Technology ( Wanasomea Campus ya KCMC )
 
Vipi kuhusiana na application zinzaanza mwezi wa ngapi?
Applications siku hizi ni kupitia NACTE ( Mfumo wao wa CAS ) na huwa unafungulia siku moja kwa vyuo vyote vya kati - Wewe wakifungua tu omba mapema na Jaza MUHAS Kama first Choice
 
wana jf huku hawatembelei sijui yan kimyaa
Mimi nipo hapa Uliza chochote kuhusu Muhimbili Nitakujibu, Unaweza pia kutafuta Ukurasa Facebook unaitwa "The Student Welkin" nadhani unaweza kupata majibu ya maswali mengi kuhusu vyuo, shule na masomo
 
Applications siku hizi ni kupitia NACTE ( Mfumo wao wa CAS ) na huwa unafungulia siku moja kwa vyuo vyote vya kati - Wewe wakifungua tu omba mapema na Jaza MUHAS Kama first Choice
mda nilipitia.web ya nacte nikakuta wameruhusu lakn vyuo vingi vitia certificate tuu
 
Mara nyingi NACTE Utakuta vyuo ambavyo bado vina nafasi, lakini kwa nadhani kwa kufungua system kwa Intake ya jumla kwa vyuo vyote BADO
 
Ada yake ni kubwa kuliko vyuo vya Wizara ila ni ndogo ukilinganisha na vyuo vya private

Haizidi Tsh 1,400,000/-

( Tsh 800,000 - 1,400,000/- )

Kwasasa hawapati chakula na ndio maana ada yake imeshuka ila Hostel utapata
Ada inacheza kwenye mil 1.1
Na kuna vitu medical lab havimuhusu ila vipo kweny fee structure kama uniform,ela ya field na kama ana bima
Ukipunguza hizo inashuka zaidi
 
Mimi nipo hapa Uliza chochote kuhusu Muhimbili Nitakujibu, Unaweza pia kutafuta Ukurasa Facebook unaitwa "The Student Welkin" nadhani unaweza kupata majibu ya maswali mengi kuhusu vyuo, shule na masomo
kwan ulisoma muhimbili
 
Applications siku hizi ni kupitia NACTE ( Mfumo wao wa CAS ) na huwa unafungulia siku moja kwa vyuo vyote vya kati - Wewe wakifungua tu omba mapema na Jaza MUHAS Kama first Choice
Mmh! mbona kwa sasa Watu wanaomba Maombi ya Vyuo na Mwisho ni Kesho tarehe 6/03/2017 au sio wenyewe hao?
 
Back
Top Bottom