Kuna hawa watu wanauza hizi dawa za kupunguza mwili, wengine za kuongeza mwili. Zipo tofauti tofauti. Hivi kuna mtu ashawahi kutumia na matokeo yapoje? Au side effects zake zipoje?
Ngoja wadau waje coz kumekua na ongezeko kubwa sana wanadai wana supplements amba,o zinaongeza mwili kwa wanaotaka maumbo ya miraba naona wadau wa 6packs wanazishunghulikia kweli kweli!
Ngoja wadau waje coz kumekua na ongezeko kubwa sana wanadai wana supplements amba,o zinaongeza mwili kwa wanaotaka maumbo ya miraba naona wadau wa 6packs wanazishunghulikia kweli kweli!
Nimekuwa mtumiaji wa dawa ya kupunguza mwili hasa nililenga kitambi ,nilinunua kwenye black market vidonge 30 kwa siku ....nimekuwa mtumiaji ila nilikuja kushituka baada ya moyo kuanza kushindwa kufanya kazi vizuri hapo nikaacha kabisa ....nikaona haya madawa yana athari wala hayana faida katika mwili ndio maana wanasisitiza ukiyatumia unywe maji mengi