Naomba kufahamishwa kuhusu vodafone smart 4

Naomba kufahamishwa kuhusu vodafone smart 4

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Wakuu nimeiona hii simu vodashop. Inauzwa laki 1.

Mnaweza nisaidia ichambua? je! inaizidi huawei y300? na Vp kuhusu ubora wa battery?
 
mimi naitumia iko poa ila ya tigo sijawahi kutumia hivyo siwezi kulinganisha
 
nimeitumia ila haiigusi y300 ata y200 maybe y100
 
Back
Top Bottom