Naomba kufahamishwa kuhusu Lugalo military medical school

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
375
265
Jamani wana JF,

Naombeni mnifahamishe kuhusu Lugalo Military Medical School.
 
jamani wana jf naombeni mnifahamishe kuhusu lugalo military medical school. form zo zinapatikana website gani? alafu je chuo ni day au boarding ? please mnisaidieni, alafu je ni prvate au ni gvt kwa alisomapo au aliepo kwa sasa au anaeishi karbu tuwasliane kwa namba hii 0753070139
Chuo government hicho kwa hiyo utaratibu wote unatoka nacte, nahisi mpaka ivi sasa kitakuw kishajaa maana iyo sipi ya kuki-apply iyo jana ilikuwa kubwa
 
Chuo government hicho kwa hiyo utaratibu wote unatoka nacte, nahisi mpaka ivi sasa kitakuw kishajaa maana iyo sipi ya kuki-apply iyo jana ilikuwa kubwa
Kwenye application hakuna kujaa, kitakachokutoa ni competition wakati wa final selection! application can accept any number!
 
Chuo government hicho kwa hiyo utaratibu wote unatoka nacte, nahisi mpaka ivi sasa kitakuw kishajaa maana iyo sipi ya kuki-apply iyo jana ilikuwa kubwa
mbna bdo nacte bdo hawajatoa bdo system yao ya kuaply kitajaa vp tena?
 
Back
Top Bottom