Naomba kufahamishwa kuhusu data usage kwenye simu za android

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,649
Reaction score
6,485
Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu, naomba kufahamishwa kuhusu matumizi ya hiki kitu kinacho itwa data usage kwenye simu za android jinsi ya kuiset na mambo mengine kama hayo.

Ahsante?
Screenshot_2020-05-29-18-55-29-1.jpg
 
Hapo utapata matumizi ya data kwa siku mwezi au mwaka.

Mfano. Unataka kujua mwezi uliopita umetumia GB ngapi ndio

Au unataka ukitumia mfano Gb 3 simu ikupe alert ni hapo

Au mnasemaje mods
 
Haina uhusiano wowote na ulaji wa mb kama kuna mistake zozote za settings kufanyika mkuu?
 
Utaweza kufanya mpangilio wa data aidha unahitaji kwa siku usizidi GB1 au GB1 uweze kuitumia kwa siku 2 kisha kujianzisha upya au lah!

Itaweza kukuarifu endapo unakaribia mwisho wa matumizi uliyolenga baada yakubakiza MB/GBs kadhaa katika mpango wako. Haya yote utayafanyia Set Mobile Data Plan.

Pia utaweza kuona utumiaji wa data katika aprikesheni zako. mfano, WhatsApp - 200MB, Facebook 1GB, Chrome 532MB na Removed Apps 314MB.
 
Hizo ni settings za kawaida tu zinakusaidia kwenye matumizi yako ya internet labda usivuke kiasi fulani. Ukifka warning limit simu inakupa taarifa, ukifika kiwango cha mwisho ulichoset simu yako inazima data yenyewe. Ukiiruhusu iendeleee lmao hujabadili vile viwango ulivyoset mwanzo itakuwa hakuonyesha juu ya screen kiwango ulichozidi kadri matumizi yanavyoongezeka na muda.
Hiyo setting haihusiani vyovyote na ulaji wa data kwa kasi au polepole.
Ila ukiset data saver ON utaokoa data zako japo utakosa vitu fulani km baadhi ya notifications n.k
 
Asante sana mkuu kwa maelezo yako
 
Asante sana nimekuelewa vema mkuu
 
Back
Top Bottom