Msaada Please Nilikuwa nataka ku update kwa kutumia hii CM11
coz simu yangu ilizinguaga nikapeleka kwa fundi akaiflash sasa siwezi ku update kupitia
ota.
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya ku install hiyo custom rom.
nimesha root tayari ,natumia LG optimus g pro/LG F240-S