Aisee tuchekiane mkuu naingia mwaka huu paleWanajf
Km kuna yeyote ameshasoma chuo cha DIT kwa diploma au degree, vipi ufundishaji wao ukoje?
Prospectus, lecturers, Naomba maoni yenu wakuu.
iPhone 6s
njoo in boxWanajf
Km kuna yeyote ameshasoma chuo cha DIT kwa diploma au degree, vipi ufundishaji wao ukoje?
Prospectus, lecturers, Naomba maoni yenu wakuu.
iPhone 6s
Ni chuo ambacho watu ambao wameshindikana kwa kuwa na akili nyingi ndio wanaenda kusoma paleUnataka kujua nini kuhusu prospectus?
specify course unayoenda kusoma kwanza...kila course ina sifa zake difficult insitute of Tanzania(dit)
mi niko pale nicheki inboxAisee tuchekiane mkuu naingia mwaka huu pale
sent by IPhone 6 using jamii forum app
haaaaaaaa mkuuu ukija hapa kaza buti si mchezo,,, kunakusoma course zaidi ya miaka uliyoitarajiami niko pale nicheki inbox
O.D or B.ENGPoa, Mkuu
Mi na apply electrical engineering
iPhone 6s
njoo inboxWanajf
Km kuna yeyote ameshasoma chuo cha DIT kwa diploma au degree, vipi ufundishaji wao ukoje?
Prospectus, lecturers, Naomba maoni yenu wakuu.
iPhone 6s
ukweli ndoo huoDuh! Mbna mnanitisha hivi Jamani
iPhone 6s
umesahau mkuu na class atedanceUnakuja kupiga kozi gani? Principal now ni. Prof.Ndomba
Ukija ufate yalokuleta DIT ni laini mno ila mitihani ndo kila kitu.....
Utata Test 1, test 2 hadi FE jipange
njoo in box
Mkuu inbox za nini funguka hapa hapa, inbox haina umuhimu kwa jambo la uma kama hili, hakuna personal issue hapa.mi niko pale nicheki inbox
Pale makali yamepungua, ogapa kipindi hiko inaitwa Dar es Salaam Technical College ( Dar Tech.) Award ilikuwa FTC (Full Technician Certificate)Ni chuo ambacho watu ambao wameshindikana kwa kuwa na akili nyingi ndio wanaenda kusoma pale